Wednesday, August 17, 2011

Wilaya ya Ruangwa imeanza ujenzi wa maghala yatakayotumika kuhifadhi mazao mbalimbali ya wakulima. Pichani wakazi wa jimbo la Ruangwa wakiwa kwenye moja ya msingi wa maghala hayo ambapo mbunge wa jimbo hilo, Kassim Majaliwa ameshahimiza ujenzi wake kufanyika haraka.


1 comment:

  1. Kukamilika kwa maghala hayo ambayo yako chini ya chama cha ushirika cha wilaya ya Ruangwa, yakikamilika yatasaidia wakulima wa jimbo la Ruangwa kuwa na uhakika wa kutunza ama kuuza mazao yao.

    ReplyDelete