Monday, August 8, 2011

Mbunge wa jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa anapwapo jimboni humo hutembelea vijiji mbalimbali ili kuwajulia hali wananchi wake. Pichani akifurahia jambo na mkazi wa kijiji cha Nandandala.


1 comment:

  1. Hivi ndivyo mtu aliyechaguliwa na wananchi anatakiwa kufanya ili kuleta maendeleo kwenye eneo lake kama ambavyo mbunge wa jimbo la Ruangawa anavyofanya ambapo hivi karibuni alitembelea jimboni mwake na kutoa taarifa ya kile ambacho ameshakifanya kwa kipindi cha miezi sita tangu achaguliwe kwa kishindo kuwa mbunge wa jimbo hilo lililopo mkoani Lindi.

    ReplyDelete