Tuesday, August 23, 2011

Mheshimiwa mbunge Kassim Majaliwa ni mtu wa michezo ambapo kwenye ziara za jimboni kwake Ruangwa amekuwa pia akitoa vifaa vya michezo kwa timu mbalimbali. Kulia akitoa jezi na mipira kwa timu za soka za Nangumbu.


1 comment: