Wednesday, August 10, 2011

Katibu wa mbunge wa jimbo la Ruangwa, Christopher Mwaya akifafanua jambo kabla ya mbunge huyo, Kassim Majaliwa, kusoma taarifa ya shughuli za maendeleo ambazo amezifanya kwa kipindi cha miezi sita kuanzia Januari hadi Juni 2011.


No comments:

Post a Comment