Wednesday, August 3, 2011

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Elimu, Kassim Majaliwa (kulia) akipokea sehemu ya msaada kwa ajili wa wakazi wa jimbo lake waliokabiliwa na matatizo mbalimbali yakiwemo ukosefu wa chakula.

No comments:

Post a Comment