Msikiti wa kijiji cha Chikundi ukionekana mpya baada kukarabatiwa upya kufuatia mbunge wa jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa kutoa msaada wa mabati, sementi na vifaa vingine vya ujenzi wakati kijiji hicho kilipokumbwa na balaa la mvua iliyoezua nyumba na msikiti huo.
No comments:
Post a Comment